The Jambo Bwana song

The song is Sung by the guides and porters after a successful climb,It’s a joyful song, accompanied by dancing, clapping.

Jambo Bwana Swahili Lyrics

Jambo! Jambo bwana!
Habari gani? Mzuri sana!
Wageni, mwakaribishwa!
Kilimanjaro? Hakuna matata!

Tembea pole pole. Hakuna matata!
Utafika salama. Hakuna matata!
Kunywa maji mengi. Hakuna matata!

Kilimanjaro, Kilimanjaro,
Kilimanjaro, mlima mrefu sana.

Na Mawenzi, na Mawenzi,
Na Mawenzi, mlima mrefu sana.

Ewe nyoka, ewe nyoka!
Ewe nyoka, mbona waninzunguka.

Wanizunguka, wanizunguka
Wanizunguka wataka kunila nyama

 

Jambo Bwana song English Lyrics

Hello! Hello sir!
How are you? Very well!
Guests, you are welcome!
Kilimanjaro? No trouble!

Walk slowly, slowly. No trouble!
You’ll get there safe. No trouble!
Drink plenty of water. No trouble!

Kilimanjaro! Kilimanjaro!
Kilimanjaro, such a high mountain.

Also Mawenzi, also Mawenzi!
Also Mawenzi such a high mountain.

Like a snake, like a snake!
Like a snake you wrap around me

You wrap around me, you wrap around me
Trying to eat me like a piece of meat